eti ni kweli kuhusu hawa wana jf?

Eti ni kweli FF ni mwanaume?
Eti ni kweli Lizzy ni under 18?
Eti ni kweli Afrodenzi ni mke wa mwita25?
Eti ni kweli Invisible hapatani /hawaivi na Paw?
Eti ni kweli Rejao ni J. Makamba?
Jifunze kulink vizuri matukio...this is too low mkuu
 
Eti kweli Golden Mpole ni kichaa aliyekimbia matibabu kule milembe?
 
eti Golden Mpoleee ameachika miaka miwili iliyopita?
 
Rejao polisi!
 
gambachovu,ni mgombea rais mtarajiwa wa chama tawala 2015..
 
Sijui. Napita tu, nitarudi baadae.
 
Hahaha. . . hata hii ni kazi kama nyingine.
Kuna kitu unahitaji niangalie kwenye kama tunacho?

1.kuna dog wa nyumbani amepotea tunahisi alifuata mto Themi akafika mitaa ya unga limited, sijui umemuona?
2. mdogo wangu aliporwa simu ya zain sijui unayo?
3. nikumbushe niku pm
 
The Finest - mkwe wangu kwa mwanangu wa kwanza hivi kuna watu umewatangazia uko Single?
Umesahau kama mama mkwe wako yuko hapa?
Mkwe Mkwe Mkwe naomba vijimaelezo vya kina:lol:

mwanao wa pili yuko na Nani??
 
1.kuna dog wa nyumbani amepotea tunahisi alifuata mto Themi akafika mitaa ya unga limited, sijui umemuona?
2. mdogo wangu aliporwa simu ya zain sijui unayo?
3. nikumbushe niku pm
Hhhm hiyo simu ntaangalia maana vitu vingi kumbukumbu haikai kichwani. Hiyo mbwa wenu alikua anatokea Sinoni nini? Ngoja niulize mtaani kama kuna mbwa kaonekana akiranda randa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…