Eti ni kweli duniani vitu vyote vimeumbwa viwili viwili?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
leo siwasalimii naanza na mada moja kwa moja
inasemekana vitu vyote duniani vimeumbwa viwiliviwili ila kimoja ni kinyume na mwenzake,mfano
mwanaume-mwanamke
ugali-wali
mahindi-mpunga
mwanga-giza
kulia-kushoto
usiku-mchana
kiangazi-masika
jua-mvua
na kadhalika na kadhalika.kama unajua vingine ongeza au kama hukubaliani tuelezee
 
Ugali-Wali
mahindi-mpunga
mwanga-giza
kulia-kushoto
usiku-mchana
kiangazi-masika
Jua-mvua
na kadhalika na kadhalika.kama unajua vingine ongeza au kama hukubaliani tuelezee
Mkuu sidhani kama upo serious na baadhi ya mifano yako hapo juu!!
Nani kakuambia kua kinyume cha Ugali ni wali?! Au unafuata tu mazowea kwa vile watu wengi na hasa Bongo hula wali na ugali? Kwanini isiwe kinyume cha ugali ni ndizi,mihogo,viazi n.k?

Kumbuka umeongelea Vitu vilivyoumbwa hapa DUNIANI,

kwanini kinyume cha Jua kiwe mvua? Au kinyume cha Mahindi kiwe mpunga? Na sio Uwele,mtama,etc? Mfano wa mwanaume-mwanamke,Mwanga-giza hapo tupo pamoja.

Vipi kwa
Lowasa - Rais mkuu?
 
Kwake mbadala wa ugali ni wali hakuna kingine!
 
Mtoa mada ku-support hicho ulichoandika kama ni kweli ama la naomba unipe kinyume cha
1.Mbwa
Ila si mbaya ukiendelea kuona kama Gari ama Kitabu vinaweza kuwa na kinyume chake...
 
leo siwasalimii naanza na mada moja kwa moja
inasemekana vitu vyote duniani vimeumbwa viwiliviwili ila kimoja ni kinyume na mwenzake,mfano
mwanaume-mwanamke
ugali-wali
mahindi-mpunga
mwanga-giza
kulia-kushoto
usiku-mchana
kiangazi-masika
jua-mvua
na kadhalika na kadhalika.kama unajua vingine ongeza au kama hukubaliani tuelezee
Mkuu, yaani hiyo sio duniani bali ni kwa mujibu wa fikra zako. Mifano uliyotoa hapo juu sio universal bali ni ya kimazingira zaidi mfano Ugali- wali, mahindi - mpunga,
 
ni mifano tu ya vitu vinavoendana,
 
Sawa kabisa Mkuu,ndio hata mimi kanishangaza,eti kinyume cha wali ni ugali..!!
 
ni mifano tu ya vitu vinavoendana,
Sawa Mkuu, lakini vingine havijaumbwa bali vimetengezwa na binadamu kulingana na mazingira yao; kwa mfano ugali-wali ni vya kutengenezwa tu na binadamu na havifanani dunia nzima, ugali naopikwa Tanzania sio sawa na ugali unaopikwa Sweden, kuna siku rafiki yangu Mswidish aliniambia leo twende ukale ugali, nilikuwa nimekaa Sweden kwa muda wa miezi 6 na nimemiss kweli chakula cha nyumbani (Tz) hususani ugali na nyama choma. Basi akanipeleka kwenye mgahawa unaomilikiwa na mtu kutoka Botswana, kwa kuwa mmiliki wa mgahawa alikuwa kutoka Afrika, na rafiki yangu alishakuja Tz akala ugali na kuupenda, alijua moja kwa moja tukifika pale nikimweleza yule Mtswana atatupikia ugali mtama kama wa Tz. Basi akampigia simu, akamwambia tukipikie ugali tutakuja jioni kula, nakuja na ndugu yako kutoka Afrika. Huwezi kuamini, tulipofika tulikuta uji mzito wa kuchota na kijiko !!!! Ikabidi nimwombe niwapike ugali waone ukoje, basi wakaniandalia maji, nikayasimamia yakachemka kama huko kwetu, nikaweka unga na kuanza kupika kwa kuzungusha mwiko kama ambavyo ugali unapikwa, wao wanashangaa tu, wakabaki kupiga picha - still and mobile. Kwa kweli wote walipenda ugali ule, week'nd nyingine wakaniambia niende tena kuwafundisha, baada ya kumaliza shule na kurudi Tz mpaka sasa wananiambia wanapika ugali na wakisahau wanaangali picha walizonipiga !!!!
 
Interested
 
hasi-chanya
jasiri-woga
huzuni-furaha
kucheka-kulia
kumeza-kutapika
siri-wazi
upenyo-uwazi
mla majani-mla nyama
mcha Mungu-mcha Shetani
baridi-moto
vua-vaa
omba-kwapua
kubali-kataa
kushoto-kulia
nyuma-mbele
chemsha-gandisha n.k
 
Back
Top Bottom