Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 Aug 22, 2016 #2 mshana jr said: View attachment 385765 Click to expand... Daah hapo back balaa
WAKABAMBEE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 605 Reaction score 275 Aug 22, 2016 #3 mshana jr said: View attachment 385765 Click to expand... waache waende kwenye maandamano maana umewakalisha chini sijui kwenye mawe hadi nyuma kumekuwa kwenduuuuuuuuuuuuuuu
mshana jr said: View attachment 385765 Click to expand... waache waende kwenye maandamano maana umewakalisha chini sijui kwenye mawe hadi nyuma kumekuwa kwenduuuuuuuuuuuuuuu
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,643 Aug 22, 2016 #4 Wamekalia moto wakaungua?..
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Aug 22, 2016 #5 Ndo maana huwa tabasamu lao ni la uongo au la dharau maana kila mmoja wao anaona kalio la mwenzie ila la kwake halioni ...... Siku kila mmoja akiweza kuona kalio lake nguvu ya kuruka ruka kwenye miti itawaisha.
Ndo maana huwa tabasamu lao ni la uongo au la dharau maana kila mmoja wao anaona kalio la mwenzie ila la kwake halioni ...... Siku kila mmoja akiweza kuona kalio lake nguvu ya kuruka ruka kwenye miti itawaisha.
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,583 Reaction score 27,838 Aug 22, 2016 #6 mshana jr said: View attachment 385765 Click to expand... Sasa huyo ni fisadi Lowasa au Mbowe? Kuna mmoja Tundu lisu!
mshana jr said: View attachment 385765 Click to expand... Sasa huyo ni fisadi Lowasa au Mbowe? Kuna mmoja Tundu lisu!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,110 Reaction score 75,567 Aug 23, 2016 #7 mshana jr said: View attachment 385765 Click to expand... Huyu wa nyuma kabisa ndiye yule aliyeolewa kule mombasa halafu akaachika kwa sababu ya kuchepuka.
mshana jr said: View attachment 385765 Click to expand... Huyu wa nyuma kabisa ndiye yule aliyeolewa kule mombasa halafu akaachika kwa sababu ya kuchepuka.
INGENJA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 4,990 Reaction score 4,271 Aug 23, 2016 #8 mbona wanafanana jezi na polisisiem
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Aug 23, 2016 #9 Unawaogopa sana ndio maana umepiga picha ukiwa nyuma yao
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 23, 2016 Thread starter #10 Kasinde said: Ndo maana huwa tabasamu lao ni la uongo au la dharau maana kila mmoja wao anaona kalio la mwenzie ila la kwake halioni ...... Siku kila mmoja akiweza kuona kalio lake nguvu ya kuruka ruka kwenye miti itawaisha. Click to expand... GT kasie
Kasinde said: Ndo maana huwa tabasamu lao ni la uongo au la dharau maana kila mmoja wao anaona kalio la mwenzie ila la kwake halioni ...... Siku kila mmoja akiweza kuona kalio lake nguvu ya kuruka ruka kwenye miti itawaisha. Click to expand... GT kasie
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 23, 2016 Thread starter #11 Barbarosa said: Sasa huyo ni fisadi Lowasa au Mbowe? Kuna mmoja Tundu lisu! Click to expand... Hiki ndio kilema chako.. kujadili watu personally
Barbarosa said: Sasa huyo ni fisadi Lowasa au Mbowe? Kuna mmoja Tundu lisu! Click to expand... Hiki ndio kilema chako.. kujadili watu personally
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 23, 2016 Thread starter #12 Totos Boss said: Unawaogopa sana ndio maana umepiga picha ukiwa nyuma yao Click to expand... Natamani ungejua tafsiri yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] muone Kasinde akusaidie[emoji144] [emoji144] [emoji3]
Totos Boss said: Unawaogopa sana ndio maana umepiga picha ukiwa nyuma yao Click to expand... Natamani ungejua tafsiri yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] muone Kasinde akusaidie[emoji144] [emoji144] [emoji3]
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 23, 2016 #13 Pamoja na kuwa Amiri Jeshi Mkuu alikataza sherehe na maandamano za kusherehekea kumbukumbu/sikukuu, lakini mwaka huu kuna umuhimu wa kuadhimisha miaka 52 ya Sikukuu ya miaka 52 ya Mashujaaa 01/09/2016.
Pamoja na kuwa Amiri Jeshi Mkuu alikataza sherehe na maandamano za kusherehekea kumbukumbu/sikukuu, lakini mwaka huu kuna umuhimu wa kuadhimisha miaka 52 ya Sikukuu ya miaka 52 ya Mashujaaa 01/09/2016.