Ila kina Lissu nao wana maswalii duuu
Lissu:Umesoma
Shahidi:Ndio
Lissu: Una uelewa wa kidogo wa mambo ya sheria?
Shahidi: Mi hayo mambo ya sheria za mahakamani sijui,maana nilisoma Physics
Lissu: Hata Newton's Law of Motion si sheria pia?Nayo huijui!?
Shahidi: Najua...Zipo kama tatu
Lissu :Ok ok...Sasa unaweza kutuambia why the last drop of urine doesn't obey
the law of gravity unless u shake it
well!!
Shahidi:Mimi hiyo sikuisoma
Lissu:Sasa kitu ulichosema unakifahamu,sasa unasema hujui,sasa huoni hata huo ushahidi unaosema ulikuwepo hapa unaweza kuwa unaongea kitu usichokijua?
Shahidi:Sijui
Kabisa-kabisaMahakamani huwa kuna maswali ya mtego lazima uwe makini, mfano:
Mwanasheria: Shahidi, unaweza kuithibitishia mahakama tukufu iliyo mbele yako kuwa ni mara yako ya ngapi kutoa ushahidi batili?
Shahidi: Ni mara yangu ya sita. (Hapa hakuelewa neno batili)
Tehe-tehe!Hahahaha lisu bana akutane na mm bas
Hahaha!Lissu ni mashine
Mmh yatak akil ya ziadaMahakamani huwa kuna maswali ya mtego lazima uwe makini, mfano:
Mwanasheria: Shahidi, unaweza kuithibitishia mahakama tukufu iliyo mbele yako kuwa ni mara yako ya ngapi kutoa ushahidi batili?
Shahidi: Ni mara yangu ya sita. (Hapa hakuelewa neno batili)