Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,200
- 2,603
sio wote tuko hivyo, binafsi nikipewa sina habari tena na mwingine, ila ukininyima vyote(romance&love) siwezi kukuelewahata ukimpa bado ataenda kuiba huko nje
sio wote tuko hivyo, binafsi nikipewa sina habari tena na mwingine, ila ukininyima vyote(romance&love) siwezi kukuelewahata ukimpa bado ataenda kuiba huko nje
Ama a virgin, trust meBasi sawa... anayekukata ni mtoto kumbe
Ama a virgin, trust me
Nna ndoto ya kuwa sistaI do! Ila sijajua kwann uko nayo
Yote sawa, akili na matendo ya kitoto
Usintie majaribuni aseeUnataka ugundue nini?? Masista wenyewe hawanaa
sijawahi kutana na huyo anaejua kuridhika, sa ukinyimwa si ukae utafute shida ikwapi uimalize ukichepuka si unaongeza matatizosio wote tuko hivyo, binafsi nikipewa sina habari tena na mwingine, ila ukininyima vyote(romance&love) siwezi kukuelewa
Raia na ndevu zetu tunaitwa watoto.[emoji1][emoji1][emoji1]Aseeeh..koh nyie kina mama sisi ni watoto? Naombeni mnijibu kwa hoja kuntu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unanyonya mpaka sasa ina maana?
Ila vitandani tunawalizaRaia na ndevu zetu tunaitwa watoto.[emoji1][emoji1][emoji1]
unajua kuna wanawake ni wachoyo na wajeuri balaa, yaani anaweza kukunyima akidai kuwa yuko kwa siku zake bhasi ukaamua tu muenjoy romance kwa muda huo ila anakataa, ukimuuliza kwanini, mara amechoka, hajisikii, hana hisia, atakupa siku nyingine, yaani ni hayo tu. Mimi binafsi huwa naridhika kabisa na mwanamke mmoja tu kama atanielewa ninapokuwa nimebanwa(mwanamke muungwana). Michepuko siikubali.sijawahi kutana na huyo anaejua kuridhika, sa ukinyimwa si ukae utafute shida ikwapi uimalize ukichepuka si unaongeza matatizo
Ila bhana kichwa cha chini kikiwa kinafanya kazi uwa tunakuwa kama mazuzu,labda ndio maana tunaitwa watoto.Ila vitandani tunawaliza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji53]Ila bhana kichwa cha chini kikiwa kinafanya kazi uwa tunakuwa kama mazuzu,labda ndio maana tunaitwa watoto.