Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Leo nilkua na shost yangu fulani hivi sasa katika mazungumzo yetu akaanza nipa stori za chumbani, akadai ye kuna mpenzi wake mmoja ambaye hata amfanyie nini hawezi kumwacha.
Ikabidi nimuulize sababu kwanini asimuache akanijibu akisex nae huwa anamwaga hata mara nne hapo nikastaajabu sabu mi najua mwanaume tu ndo ambaye huwa anamwaga sasa na wanawke pia.
Ila shost sikupenda mdada sana mana ni waruwaru nikaamua nileteee hapa, mwanamke anamwaga vipi?