J Juakali38 Member Joined Jun 10, 2015 Posts 60 Reaction score 50 Feb 14, 2019 #1 Dr. Mwakyembe anakerwa na jina tajwa hapo juu ila hachukii trwni ya umma kuitwa ya Mwakyembe NB: mwenye kale ka clip atupie plz... This Tanzania... Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Mwakyembe anakerwa na jina tajwa hapo juu ila hachukii trwni ya umma kuitwa ya Mwakyembe NB: mwenye kale ka clip atupie plz... This Tanzania... Sent using Jamii Forums mobile app
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,232 Reaction score 40,734 Feb 14, 2019 #2 Nadhani Yupo sahihi,Japo saiz ndo amechochea kuendelea kuitwa Kwa mchina,maana akili za waTz hazijataulia
Nadhani Yupo sahihi,Japo saiz ndo amechochea kuendelea kuitwa Kwa mchina,maana akili za waTz hazijataulia
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,435 Reaction score 283,718 Feb 15, 2019 #3 Juakali38 said: Dr. Mwakyembe anakerwa na jina tajwa hapo juu ila hachukii trwni ya umma kuitwa ya Mwakyembe NB: mwenye kale ka clip atupie plz... This Tanzania... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Attachments VID-20190215-WA0000.mp4 VID-20190215-WA0000.mp4 3.5 MB · Views: 34
Juakali38 said: Dr. Mwakyembe anakerwa na jina tajwa hapo juu ila hachukii trwni ya umma kuitwa ya Mwakyembe NB: mwenye kale ka clip atupie plz... This Tanzania... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,435 Reaction score 283,718 Feb 15, 2019 #4 Ndumbula Ndema said: Nadhani Yupo sahihi,Japo saiz ndo amechochea kuendelea kuitwa Kwa mchina,maana akili za waTz hazijataulia Click to expand... Serikali ya Tanzania itakapoacha kuabudu mchina ndio wananchi nao wataacha kuita uwanja ule kwa mchina
Ndumbula Ndema said: Nadhani Yupo sahihi,Japo saiz ndo amechochea kuendelea kuitwa Kwa mchina,maana akili za waTz hazijataulia Click to expand... Serikali ya Tanzania itakapoacha kuabudu mchina ndio wananchi nao wataacha kuita uwanja ule kwa mchina
Mama_Aheshimiwe JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,746 Reaction score 4,173 Feb 15, 2019 #5 Ndio nimefunguka macho sikuwahi jua hili jina Sent using Jamii Forums mobile app
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,435 Reaction score 283,718 Feb 15, 2019 #6 Mama_Aheshimiwe said: Ndio nimefunguka macho sikuwahi jua hili jina Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mwakyembe anawapigia debe wachina kijanja
Mama_Aheshimiwe said: Ndio nimefunguka macho sikuwahi jua hili jina Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mwakyembe anawapigia debe wachina kijanja
M mwakiri JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 1,067 Reaction score 1,104 Feb 15, 2019 #7 Czan km inaathir kitu hata yeye wazir anajina lake huko mitaan na pamoja na uwazir wake kunawatu akikutana nao wanamuita hawa ndio wale wanaosema kuwa ukitaka kuowa mpk uje na cheti chakuzaliwa yaan ilimradi tu mt aonekane ameongea Sent using Jamii Forums mobile app
Czan km inaathir kitu hata yeye wazir anajina lake huko mitaan na pamoja na uwazir wake kunawatu akikutana nao wanamuita hawa ndio wale wanaosema kuwa ukitaka kuowa mpk uje na cheti chakuzaliwa yaan ilimradi tu mt aonekane ameongea Sent using Jamii Forums mobile app