Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
Na huyo anayetaka apewe kura kwa kuwa tu ni Mlutheri tumwite vipi!Ni ujinga kabisa, mambo ya ukabila na ukanda ni vya kukemewa kbs
shukrani kwa kufichua siri .
Walianza na mungu, watamaliza na mungu. Huyo mungu wao atajulikana Novemba.Mbaya zaidi ni pale mgombea mwenyewe wa Urais wa Tanzania anapowaambia waumini wamuombee kwa Mungu ili aweze kuwa Rais wa Tanzania kwa sababu dhehebu lake halijatoa Rais wa Tanzania.
Sasa unajiuliza, hivi huyu Mungu anawaumba binadamu kwa kuangalia madhehebu?
Huyu Mungu anaweza kuruhusu na kukubaliana na fikra za kibaguzi kwa watoto wake wote.
Ni Mungu gani huyu anayetoa baraka katika misingi ya kuligawa Taifa lake.
Kwani hao ambao wanaomba Mungu awape Rais kutoka dhehebu lao wamebaguliwa au watapata nini zaidi ya madhehebu mengine.
Waafrika hawajifunzi kitu
waulize wakikuyu Kenya walivyompigia Uhuru Kenyata
hali zao zimezidi kuwa mbaya but still watampigia tena
Hii akili huwa tunayo sana,Wakenya waliamini sana kuwa watasaidiwa na OBAMA eti kwasababu anaasili ya KIAFRIKA..