Eti miss bibi bomba alipiga kura 2005!

Eti miss bibi bomba alipiga kura 2005!

Kwa hiyo arudishe na zile milioni 10? Si atakuwa keshazitumia huyo.

Ni michuano yenyewe inazidi kupoteza mvuto maana hata wao sasa hivi wanachangamoto ya kupata udhamini kama ilivyokuwa wapinzani wao miss Utalii na juzi kati wameanza kutofautiana wao kwa wao (zawadi za miaka ya nyuma kama ziikuwa kubwa vile na hata ma-miss walikuwa wanaonekana wanapofanya shughuli za kijamii tofauti na miaka ya hivi karibuni hata mtangulizi wake hajulikani)
 
Back
Top Bottom