waambie wazazi wako mkaangalie dna.hii itakuongezea mawazo au kukupunguzia
jamani ndugu zangu wana jf naombeni ushaur mimi naishi na wazazi wangu wawili ila huwa ninatoka kwa ajili ya shule sasa tatizo linakuja nacikia kuna uvumi eti kuwa mimi cio mtoto wa baba wanasema eti cifanani nae but nafanana na mama sababu ya pili wanasema eti mama aliolewa ana mimba yangu kwa sababu nilizaliwa before 9months inafikia hatua baba yangu anaishiwa amani na ananipa pesa hana amani nimejaribu kumuuliza mama amedai eti mi mtoto wa baba na mpaka sasa ni miaka 23 jamani nisaidien ushaur sina amani kabisa naish bila raha kabisa