Eti mfumo dume, thubutuuu, hamuwajui wanawake nyie.....!

Eti mfumo dume, thubutuuu, hamuwajui wanawake nyie.....!

Lakini, inaonesha kwamba, kwenye zile ndoa ambapo wanawake husikilizwa zaidi yanapokuja masuala ya ndani, ndoa hizo zinakuwa imara zaidi. Hii inaonesha kwamba, huenda mwanamke mahali pake siyo jikoni, bali ni nyumbani, yaani ni mtaalamu wa masuala ya familia na uhusiano kwa ujumla, ingawa mwenyewe hajui. Ndoa inapofikia miaka saba, kukawa na amani ya kuridhisha, kama wanawake kwenye ndoa hizo ndiyo wazungumzaji wakuu wa masuala ya ndani, mafanikio ya kindoa na kifamilia huwa mazuri, ukilinganisha na pale ambapo wanaume ndiyo wasemaji wakuu.
Mtambuzi mie naujua huo ukweli. Vijana inabidi wajifunze katika uzi huu.
 
Last edited by a moderator:
hahahah who runs the world?? galzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

And who run galz? Boyzzzzzzzzzzzz!

Tunavyowachanganya nyinyi hadi mnataka kunywa sumu,,, sisi ndo tumeshika controler ya furaha zenu.. Tukiamua muwe na raha na furaha mpaka basi tunaweza.. Na tukiamua mtoe machozi, huzuni, stress na kila kitu tunaweza...

Ni kweli girls run the world but boys run girls and the world indirect as we control girls
 
hahahah mkata kiu bana...heri ya mwaka mpya......
And who run galz? Boyzzzzzzzzzzzz!

Tunavyowachanganya nyinyi hadi mnataka kunywa sumu,,, sisi ndo tumeshika controler ya furaha zenu.. Tukiamua muwe na raha na furaha mpaka basi tunaweza.. Na tukiamua mtoe machozi, huzuni, stress na kila kitu tunaweza...

Ni kweli girls run the world but boys run girls and the world indirect as we control girls
 
neggirl ur totally wrong why u have to prostitute ur self in such a manner, just use ur tongue carefully and everything will be owky, wat u want to do will not last long, it will take to make sure that if u want ur man to listen u, u have to corrupt him with sex and wat if the issue iz so urgent let say at the road or he is not present and u want him to listen u or do something to u wat will u do? however that inducement has been prohibited by most of religion so use ur mind if u have parents or guardian tell them how to do things, however without prejudice i concur with the motion
 
amu wewe ni msichana ushahidi ni neno "jishaua" ulilo litumia linathibitisha
 
Lakini, inaonesha kwamba, kwenye zile ndoa ambapo wanawake husikilizwa zaidi yanapokuja masuala ya ndani, ndoa hizo zinakuwa imara zaidi. Hii inaonesha kwamba, huenda mwanamke mahali pake siyo jikoni, bali ni nyumbani, yaani ni mtaalamu wa masuala ya familia na uhusiano kwa ujumla, ingawa mwenyewe hajui. Ndoa inapofikia miaka saba, kukawa na amani ya kuridhisha, kama wanawake kwenye ndoa hizo ndiyo wazungumzaji wakuu wa masuala ya ndani, mafanikio ya kindoa na kifamilia huwa mazuri, ukilinganisha na pale ambapo wanaume ndiyo wasemaji wakuu.

Mtambuzi hapo pekundu panahusika zaidi.
mara nyingi mwanaume hata mbabe vipi akiingia nyumbani huufyata mkia.
Aidha mara nyingi ndoa ikimaliza miaka 3, halafu 7 na ikifikisha miaka 13 haijavunjika;
Haivunjiki tena.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Mfalme Suleman alisema katika 1000 mwanaume mmoja alimpata lakini mwanamke hakuna.. Soma Biblia kitabu cha Mhubiri
 
mkuu umesema ukweli, mimi kwa asilimia kubwa nimekuwa mshauri kwenye hayo maswala ya nyumbani lakini maamuzi ya mwisho amekuwa akitoa mama Jiwe, inatusaidia sana sisi wanaume kufikiria mambo mengine ya kikazi na kimaendeleo

mkuu mada zako saa nyingine mtu anaweza sema unamwongelea yeye direct
 
Back
Top Bottom