starj4
Senior Member
- Jul 2, 2016
- 143
- 21
Je ni chuo gani kinzur kwa kuandaa clinical officer wanzur cha gavern bila kujal mkoa gan na je kozi hyo una ugumu gani na nispecialist kwa nn
Je ni chuo gani kinzur kwa kuandaa clinical officer wanzur cha gavern bila kujal mkoa gan na je kozi hyo una ugumu gani na nispecialist kwa nn
Km unafkiria kuhusu ajira bora ukasome clinical officer cku akili za kuajir zikirud serikalin utapata ajira lkn kwa famasia labd ukajiajir tu mkuuZote ni nzuri ukipata chaka au sehemu nzuri maisha na mipango yako itayooka
Kiswahl B English B Geograph C History C Civics C Math F Bios C Physcs D CHEM Cweka ufaulu wako kwanza unaweza kuwa na ndoto halafu huna sifa
Nani kakudanganya pharmacy haina ajira serikalini?Km unafkiria kuhusu ajira bora ukasome clinical officer cku akili za kuajir zikirud serikalin utapata ajira lkn kwa famasia labd ukajiajir tu mkuu
Kwa uandishi huu..!! hata usiku utapokwishaVeep kuhusu lahisi kuhajiliwa????,mishe mishe hapo na pale bila Kutegemea mshahara...
Je ni chuo gani kinzur kwa kuandaa clinical officer wanzur cha gavern bila kujal mkoa gan ni je kozi hyo una ugumu gani na nispecialist kwa nn
mkuu hebu toa ufafanuzi kidogo salar ya kawaida kwa pharm wa diplm na diplom ya clinical officerPharmacy diploma au degree? Kama ni degree pharmacy haina mshindani haya MD cha MTOTO! Lakini kama ni diploma nenda clinical officer inalipa zaidi katika maisha japo mshahara ni sawa!
division 3 kwa masom ya science niko vyem tyuuweka ufaulu wako kwanza unaweza kuwa na ndoto halafu huna sifa
heb naomb fafanua kidog minimum salar inakuw km kias gan hv...??Diploma zote za afya zinalingana mshahara serikalini
Acha kupotosha umma tangu lin diplom ikasom kwa 4 year utaratibu uko hv unasom cerfcate kam hun sifa za kwenda moj kwa moj diplom ila cerfcate unasom kwa miak 2 then unamalizia dip for one yearkuna vyuo unaweza ukachukuwa certificate na diploma miaka 4 wale walio maliza form 4 ambao hakupitia A' level
Acha kupotosha umma tangu lin diplom ikasom kwa 4 year utaratibu uko hv unasom cerfcate kam hun sifa za kwenda moj kwa moj diplom ila cerfcate unasom kwa miak 2 then unamalizia dip for one year
680000 kabla ya makatoheb naomb fafanua kidog minimum salar inakuw km kias gan hv...??
mfano chuo gankuna vyuo unaweza ukachukuwa certificate na diploma miaka 4 wale walio maliza form 4 ambao hakupitia A' level
kama unataka elim bora nenda private huko gvt kitu bora ni ajira tuJe ni chuo gani kinzur kwa kuandaa clinical officer wanzur cha gavern bila kujal mkoa gan ni je kozi hyo una ugumu gani na nispecialist kwa nn
we hujui ndio nn rud shule ya msing kwa mwalim wak wa kingereza muulize...Cerfcate ndio nn?
Daaah! Jamaa ana moyo sana,hakati tamaa licha ya kejeli za watu humu lazma atakua na roho ya Jk huyu
