Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,449
- 25,168
KwakweliiiWanavyolia jamani sasa madem nao sijui wafanye nini
KwakweliiiWanavyolia jamani sasa madem nao sijui wafanye nini
duuhhh hawa viumbe wanatisha.Kuna dem mmoja kila nikienda kumtongoza yeye ndio anaanza kupiga miayo! Yani inaonekana kila siku hali! Hadi naogopa yani...
mbatufirisi mifukoniKweli hali ni tete, wanaume mnalia jamani khaaaa!!! Kama mmefiwa.
Kilio chenu kinatuzidi hata sisi wenye hizo shida
😀😀😀😀😀Kuna dem mmoja kila nikienda kumtongoza yeye ndio anaanza kupiga miayo! Yani inaonekana kila siku hali! Hadi naogopa yani...
hahah!! Kuna demu mmoja nilipiga piga sana..
Sasa kuna siku akaniomba elfu 50 nikamwambia kwa sasa sina asikilizie.Baada ya siku mbili nikamcheki nikaona analeta mapozi akati nimeshamtafuna mara kibao..Siku hiyo nilimpigia kama mara tatu kwa nyakati tofauti,hakupokea simu,nikasema ngoja nimchokoze nikamwambia nilitaka nikuletee ile elfu 50 Duuh si akapanda hewani..Nikamwambia umeshachelewa nimeitumia..eti si ungenitumia Mpesa Nikasema huyu bwege kweli...
Hahahah...nikamkaushia mazima nikasema haka kumbe kanataka kutafuna Coins zangu tu...Mademu bhana
Kweli hali ni tete, wanaume mnalia jamani khaaaa!!! Kama mmefiwa.
Kilio chenu kinatuzidi hata sisi wenye hizo shida
Bora hata huyo ambae anakuomba pesa wakati ameshakupa k*ma, sisi wengine tunatongoza, k*ma hatupewi na pesa tunaombwa kama kawa, huyo anaekuomba pesa baada ya kukupa k*ma at least ana kaupendo flani juu yako ila njaa zinamsumbua Triple G
Hizo pesa ungekua nazo usingeliaWanawake wengi mshaumizwaga kimapenzi, mmetoka familia za kimaskini, na wanaume wengi tuna sura mbaya ndo maana mnatuomba pesa, hivyo mtuhurumie tu, sahivi karibia kila mdada ukitongoza tu anaomba pesa..mpaka unajiuliza ni nini hiki Evelyn Salt zeshchriss
Kwel Aisee 😀😀Daaah ila kwa sasa wamezidi kwa kweli maana wanaomba kwa kuforce km vile wanakudai, halafu mbaya zaidi kizinga hichohicho unachopigwa wewe mnaweze kupigwa hata zaidi ya wanaume watatu kwa huyohuyo bint mmoja, yaani sasa hivi kudanga ndio imekua kama hewa ya oxygen kwa dada zetu, wanaona bila ya kudanga wanaweza wakakata roho.
Hamkaushi mnaliaSiyo kwamba Tunalia mambo mnayotuletea ndo yanatufanye tuwakaushie tu