Eti matokeo yatafutwa

kweli watu mna mchezo na sirikali ya hii inji!
 

Mkuu inaonekana huu mkakati wako wakuibua madudu ya wanafunzi ni endelefu hongera yako na usirudi nyuma ,ila usije anza kupokea rushwa kama hizo hapo kwenye picha.
Maana hao watoto usikute hawana kosa kumbe Walimu wao wamewafelisha kwa kudai rushwa na watoto kugoma kutoa!

Maana picha huacha maswali mengi bila majibu !
 

No retreat no surrender Mp Kalix2
 
Last edited by a moderator:
Chakaza hapo ulipo agiza mbili za fasta kishapo mwambie mhudumu anipigie
mshana jr umeniponza mkuu wangu! Nimeagiza tena kwa matambo "we muhujumu! Leta Kinana mbili bariiid sana bili kwa bosi wangu mshana jr ebo!" Sasa namwambia akupigie kasema not richabo, nifanyeje sasa na nimeagiza kwa mbwembwe? Tena badala ya kusema Ndovu nimesema Kinana ahh! Kweli majanga. "muhujumu" mwenyewe kavaa kama huyu hivyo nadhani itikadi yake lazima atakuwa kakasirika jinsi nilivyoitaja hiyo bia.
 
Last edited by a moderator:

View attachment 192145majanga
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…