CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
naombeni kufahamu juu ya hilo pls.
mhhhhh!basi nshatupia nyingine mkuu.
Poa mkuu,Ushambemenda mtoto wako,mwambie mkeo akapime kama ana mimba na amwachishe mtoto maziwa hili yasizidi kumuaribu.
Wangu alikua hapati hedhi,but sasa anasema ana mimba,na alipima wiki 3 hv zilizopita akaambiwa anayo but haionekani ni ya muda gani,sehemu nyingine alipimwa akaambiwa hana,but yeye binafsi anajisikia kama mjamzito.Wanawake wanaponyonyesha huwa wanakuwa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni wale wanaonyonyesha bila kupata hedhi na wengine ni wale wanaoendelea kupata hedhi kama kawaida wakati wakiwa wananyonyesha. Sasa kwa wale wasiopata hedhi si rahisi kupata mimba hata kama mtabanjuana kutwa 2 x 3 kama dozi ya panadol. Lakini kwa wale wanaoendelea kupata hedhi wakati wananyonyesha, usipotumia kinga yoyote, ujue watoto wanaweza kupishana miezi 9 tu!!
Wangu alikua hapati hedhi,but sasa anasema ana mimba,na alipima wiki 3 hv zilizopita akaambiwa anayo but haionekani ni ya muda gani,sehemu nyingine alipimwa akaambiwa hana,but yeye binafsi anajisikia kama mjamzito.
Ana miezi 8.Wangu alikua hapati hedhi,but sasa anasema ana mimba,na alipima wiki 3 hv zilizopita akaambiwa anayo but haionekani ni ya muda gani,sehemu nyingine alipimwa akaambiwa hana,but yeye binafsi anajisikia kama mjamzito.
Poa mkuu!Yes, very much possible kubeba mimba while lactating. Hongera ndugu, kweni hujawahi kusikia mapacha wa nje, basi ndio hizo mimba na wanakuna wana 9 to 11 months gap.
Mwambie asubiri mpaka 8 weeks atakuwa na uhakika wa kujua kama ni mimba imetinga.
Mkuu,mbona uliwah sana,c ungetafuta hata part time nje.