Eti Makonda kugombea Ubunge jimbo la Ubungo!

Kitakachombeba mnyika ni chadema na hii ni kwa sababu watu wameichoka ccm ya makonda.
ukifanyika mdahalo kati ya makonda na mnyika ndio utajua nani matumla na nani myweather.
 
kampiga Warioba UBUNGO anagombea UBUNGO.,..ajaribu aone kilichomtoa kanga manyoa
 
Kitakachombeba mnyika ni chadema na hii ni kwa sababu watu wameichoka ccm ya makonda.
ukifanyika mdahalo kati ya makonda na mnyika ndio utajua nani matumla na nani myweather.

Hujasomeka mkuu, au macho yangu?
 
Eti makonda ana uelewa kuliko Mnyika? Huo ni uwenda kichaa kabisa
 
Ndoto za Makonda kujipa matumaini ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa kushindana na Mnyika ni sawa na kibogoyo kutaka avunje mfupa ulio mshinda simba.Kwa hadhi ya Makonda namshauri aombe viti maalum kupitia kwao.

Bondia wa kupiga wazee unataka kuja ubungo huku tutakufumua usifikiri tutacheka na wewe ohooo sisi ni zaidi ya panya road kamuulize yume mama mwenzako aliyeweka mpaka nyumba rehani
 
Jamani makonda huyu huyu mwizi wa ipads aende tena bungeni.Tanzania haiachi vituko
 
Kumbe ndio sababu anaandaa mamluki pale UDSM wanaosupport kila kitu bila kuruhusu Halmashauri za kichwa tena ukizingatia ni wasomi.
 
Kunisoma ni kazi as nyuzi zangu sio za kisihisi hasa, zipo ktk ukweli na uhalisia unaoumiza
Wafata mkumbo kwa wanasihihasa.
 
Kwa wasio mfahamu Makonda ni huyo hapo chini mwenye shati jeupe akijiandaa kumpa ngumi ya uso Mzee Warioba wakati wa mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza. Ikumbukwe kuwa Makondo ni kijana mwenye umri wa miaka zaidi kidogo ya 30 na mzee Warioba ana zaidi ya 70 na anaheshimika sio TZ pekee bali sehemu mbalimbali duniani.
View attachment 215085[/Q

acha akaumbuke mwenyewe
 
Ndoto za Makonda kujipa matumaini ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa kushindana na Mnyika ni sawa na kibogoyo kutaka avunje mfupa ulio mshinda simba.Kwa hadhi ya Makonda namshauri aombe viti maalum kupitia kwao.
huyo hata waweke jiwe - HAPITIMO
 
Back
Top Bottom