Eti mahaba nipige shoti nitetemeke

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Sikuizi Bwana Kuna Vimsemo Vya Malavidavi Au Mapenzi Vimeibuka Na Kushika Kasi,ni Rahisi Kusikia Kijana Eti Anasema MAHABA NIUE, MAHABA NIPIGE SHOTI NITETEMEKE Je Wewe Ushasikia Misemo Gani Ya Haya MAHABA?
 
Mhhhh! mahaba is not in my scale of preference... sijawahi kuskia ndo naskia kutoka kwako
 
Shikamoo mahaba niue
Shikamoo mapenzi nizike
 
utoto mtupu...ukiruhusu hisia zizidi akili umekwisha

hutatetemeshwa tu utazikwa kbs
 
Mahaba nipige mtama nianguke ning'oe meno yote ya mbele.
 
Mahaba nopoteze kama ndege ya malasia! Mahaba Nilipue kama boko haram,mahaba nivuruge kama bunge la katiba. Mahaba nizamishe kama kivuko cha korea, mahaba nigungeee kama wauza jackcliff china, mahaba nakutamani kama lowasa anavotamani kiti cha ukuu. Mahaba wwweeee! Uko wapi?
 
Bila pesa hayo mahaba yenu ni bure...ni sawa na JF bila MMU
 
Sidhan kama hyo misemo inasadifu kile kinachotokea ktk hayo mahaba
 
Mapenzi ni Ugonjwa wengi wagonjwa mimi mmoja wao.
 
Mahaba yako wapi ynipige shoti nife hapo hapo aaaargh!!!!! hayo makopa yako wapi niyafuate mia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…