Ndekirhepva
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 371
- 44
Nani anataka kuua mtu aliyejifia tayari?

kuna watu wengine wanajitaftia umaarufu tu, lusinde auawe kwa lipi?
naona anabwabwaja eti kuna mtu ana mfuata fuata na probably they want to silence him,
ila kumbe nae sometimes anatoa point eh?
naona anadai maji kwa fujo, sasa leo ndo anajua kwamba mkoa wa dodoma ni semi arid kama sio arid zone??????
Hamna keshagundua kuwa tumegundua kuwa ni darasa la saba kielimu. Sasa hiyo ndio anaita kufuatwa fuatwa. Kichwa yake ni ya swain tu!kuna watu wengine wanajitaftia umaarufu tu, lusinde auawe kwa lipi?