Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,512
Labda yesu anakuja!
Hebu mbipu pengo! Huenda anajua siri ya urembo.
Wakati mwingine huwa unayataka matusi pasipo sababu. Au ndio umeshafungulia tuingie kilingeni?
Labda yesu anakuja!
Hebu mbipu pengo! Huenda anajua siri ya urembo.
Mubarak Faidhina!edd mubaraka
Wakati mwingine huwa unayataka matusi pasipo sababu. Au ndio umeshafungulia tuingie kilingeni?
Tukana basi!.
Kwani mtu kusema Kule kukosekana foleni za magari kariakoo huenda ikawa Yesu anakuja Hapo Dar ni matusi?
Kwani nyie wagalatia si kila siku mnasema Mnampokea Yesu?
Sasa akitokea kikweli kweli si ndio itakuwa safi zaidi! Au?
Manake sasa mnatuchanganya sana.
Mubarak Faidhina!
Mwezi umeandama dampo la IMTU, nenda kafuturu wenzio wamerundikana huko
We unaonekana kwenye vilio na sherehe za waislamu Huchezi mbali!
Yaani timetable yote UNAIJUA!
Nikikukamata kwenye maeneo yetu basi lzm Utapike pilau yetu yote!
Kitimoto .com wahedi we!
Mkuu hicho ni kiarabu au?
Mkuu hicho ni kiarabu au?
wadau wa kitimoto,leo kuna uhaba wa mnyama.sijui wenzangu wapi mwapata?Hii mbezi beach,kawe na kunduchi hakuna kabisa
Aisee we bosi wako akiwa muhindi utaenda na drip job