- Thread starter
- #121
Just to keep it softKuna ukweli. Kwanza mi napaka mafuta maeneo yanayokuwa wazi baada ya kuvaa nguo. Sasa maeneo kama mgongo, tumbo, nayo niyapake mafuta ya nini na joto lote hili huku kwetu!

NoooooooHehehehe !! Msema kweli mpenzi wa Mungu me cjawah kuyapa hiyo huduma...ivi mafuta yake ndo ile K-Y Jelly?

kuna ukweli aise