Eti kweli huyu anafaa?

kuolewa aolewe mwingine..kuumia waumie wengine!acha roho ya kichawi Irene.
 

Hamna kitu hapo

Piga chini
 
Kuna siku nimekutana na mtoto mkali, nikasema hem nione kama shetani atapita na mimi, text ya kwanza nasoma, "xo uxhafka om, unafnya nn nw", nikajisemea ni heri nibaki nilivyo[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna siku nimekutana na mtoto mkali, nikasema hem nione kama shetani atapita na mimi, text ya kwanza nasoma, "xo uxhafka om, unafnya nn nw", nikajisemea ni heri nibaki nilivyo[emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha! Duh!
 
Labda mke wa tano..! Na hapo ukute ulipo ata wakuzugia huna..!
Yaani unamaanisha kuna mwanamke hana mtu au?, kwa taarifa yako wanaume wasio na wapenzi ni wengi sana ndio maana mwehu wa kike anazaa ila mwehu wa kiume labda iwe ni kishirikina

Wanaume wengi tu wanaobaka ila umesikia lini mwanamke kabaka? Wee endelea kuamini kuwa kuna wanawake wapo single kwa kukosa waume
 
Kiukweli mimi sijaolewa na sijutii kwa nini sijaolewa maana maisha yanaenda japo nina mchumba lakini
Bila kuolewa maisha hayaendi labda kama haujui maana ya maisha kwenda, hii ni sawa na maskini na tajiri,maskin akamwambia tajiri hata nisipotajirika maisha yanaenda kama wewe.
 
Mwisho wa siku ni mdogo wenu ndio mwenye maamuzi ya mwisho binafs labda niulize wana umri gani?
Kwanza nianze na pongezi kwa daraja kutengewa fungu. Dogo aoe muongeze tegemezi hapo kwenye familia. Kuna jamaa alikuja kuoa kwetu design hiyo full Marioo daily yupo ukweni
 
Ndoa ni zaidi ya mwandiko lakini mtu anayeandika hivyo hata urafiki nae sitaki
@Khantwe

Matatizo ya wanawake walocheza mdako, rede, kujificha, baba na mama. Shuleni walikwenda na mifuko ya rambo, viatu wameanza kuvaa kila siku walipokuwa sekondari. Ila kwa vijana wa dot.com wanaelewana uzuri kabisa.

Karibu kwangu mjuvi wa lugha

Bazazi
 
Hapo hakuna mtu. Ila ksbb wanaume wamepungua na wanaendelea kupungua,mtupieni tu huko huko,eeeh...! Maana hakuna namna sasa
 
Ingieni chimbo mpeleleze tabia za huyo shemeji yenu.Mwandiko pekee hautoshi kuthibitisha mnachokiwaza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…