Eti kweli huyu anafaa?

Tafuta wako acha umbea, upuuzi kuingilia mahusiano ya wako.
 
Kiukweli mimi sijaolewa na sijutii kwa nini sijaolewa maana maisha yanaenda japo nina mchumba lakini
Ahaa basi hongera wee mwache akahangaike na lake huko wee angalia lako maana kila mtu na mlango wake kwenye maisha
 
Ndoa ni zaidi ya mwandiko lakini mtu anayeandika hivyo hata urafiki nae sitaki
Upo kama mimi shost, kiukweli nilipouona mwandiko wake nilipaniki mno

Nikajisemea huyu kilaza anataka kutuharibia mdogo wetu aiseee

Mungu anisamehe kiukweli maana sio kwa ushauri ule niloutoa kwa shost yangu!
 
Asante sana na kwa mujibu wa awamu ya tano ya Magufuli basi hata sijasoma ulichoandika ila naamini huyo kijana ni CHAGUO LA MUNGU na anafaa awe shemeji yenu kwa miaka 100...achana na kelele za mabeberu
 
Asante sana na kwa kuwa kwa mujibu wa awamu ya tano ya Magufuli basi hata sijasoma ulichoandika ila naamini huyo kijana ni CHAGUO LA MUNGU na anafaa awe shemeji yenu kwa miaka 100...achana na kelele za mabeberu
Ha ha ha ha! Mkuu umekuja kukoleza, nilikuwa naangalia ziara ya JPM akiwa Katavi, Songwe na Rukwa mpaka kero aiseee sio mawaziri sio watu wa dini, Wakuu wa mikoa nk wote sifa ziende kwa JPM na hata hiyo ziara nilikuwa naangalia kwa kuwa ofisini king'amuzi kilikata kifurushi na ofisi haikuwa na bajeti ya kifurushi so TBC ilitawala ofisini kwetu kipindi hichoo!
 
Mkuu, Mimi ningezima socket breaker kabisa...aisee
 
Mwandiko nao andika Jf ni tofauti na niandikao kwenye mambo mengine.

Sasa kama na wewe huna akili unaamini nyuzi za Jf za kuandika x instead ya s ukaona si mume pole.


Nampa pole tena maana inaonekana unasikiliza maneno ya nje bila kuchanganya na yako.


Kila la kheri kwenu.
 
Isije kuwa ndio wewe
 
We mwenyewe hujui unachokiandika. Maamzi ndio kitu gani?
Kwani wee ukiona mwanao au ndugu yako anapotea labda kwa mfano unamuacha tu eti yeye ndo ana maamzi? Mdogo wetu ana 21 huyo muoaji sijajua kiukweli maana hata sijamuona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…