Hapo siyo USA,hayo ni majengo ya maeneo yenye vita nyingi mashariki ya kati,mfano wa majengo hayo kwenye amani ni Tanzania tu.
ukiwa unatokea msimbazi centre ukapita barabara ya jangwani kutokea Yanga utagundua kariakoo ni pure mfano wa Mashariki ya kati.
mimi nikipita hapo huwa nakumbika wale reporters wa BBC na Aljazeera wakiwa wanaripoti mpakani
Hapo lazima pawe bongo
Hiyo ndiyo Posta mpya (Dar Es Salaam) ambayo Kikwete ametumia miaka kumi kuijenga... Nashangaa wengine wanatumia nguvu kuibomoa badala ya kujenga yao... Wakati JK anaingia madarakani maghorofa ya maaana yalikuwa yanahesabika. Kila mtu alikuwa analijua ghorofa la PPF tower na ndio watu walikuwa wanapigia picha. Pia walikuwa wanapigia picha kwenye daraja la Manzese. Lakini sasa ukongelea maghorofa hakuna hata mtu anayeshangaa. Kuna ujenzi wa maghorofa mengi ya kisasa lakini hayashitui watu tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.