wanaume huwa HAWAZINI!........
HII STATEMENT HAIHITAJI MJADALA!labda wakabishane na biblia
mama mimi nainukuu biblia!mtu mwenye dhambi ya kuzini ni mwanamke...na hukumu yake ni kupigwa mawe mpaka kufaIla wanafanya siyo?
wanaume huwa HAWAZINI!........
HII STATEMENT HAIHITAJI MJADALA!labda wakabishane na biblia
mama mimi nainukuu biblia!mtu mwenye dhambi ya kuzini ni mwanamke...na hukumu yake ni kupigwa mawe mpaka kufa
.......and what if MSINGEKUWA MNAKUBALI?..........Eti wanaume hawaziniii.... na wakati nyie ndio waovu wakubwa, nyie ndio chanzo cha matatizo hapa duniani. Msingekuwa mnatongoza tuone kama huyo mwanamke atakuwa malaya!!
biblia ni kitabu kitakatifu cha mungu!.......biblia pia ina mapungufu katika hili ikiwa tu katika hesabu tunaambiwa walikuwapo watu 5000 na wanawake si inamaanisha wanawake si watu? ..... Nina wasiwasi na mwandishi wake lazima alikuwa mwanaume ..........tena mwenye msimamo mkali
.......and what if MSINGEKUWA MNAKUBALI?....
.......and what if MSINGEKUWA MNAKUBALI?....
WANAWAKE MNAITWA MALAYA KWASABABU mnakubali.....ndo hapo mtuambie mngechukua hatua gani
it is ABOMINATION kumuita mwanaume malaya!biblia inalitambua HILO.KIIMANI MWENYE DHAMBI YA UZINZI NI MWANAMKE.......Unlike charges attract each other, hivyo sio mwanamke tu aonekane malaya. Hata mwanaume anayependa kutoa chini ni malaya vile vile.
WANAWAKE MNAITWA MALAYA KWASABABU mnakubali.....
......Eti wanaume hawaziniii.... na wakati nyie ndio waovu wakubwa, nyie ndio chanzo cha matatizo hapa duniani. Msingekuwa mnatongoza tuone kama huyo mwanamke atakuwa malaya!!
it is ABOMINATION kumuita mwanaume malaya!biblia inalitambua HILO.KIIMANI MWENYE DHAMBI YA UZINZI NI MWANAMKE
Ni kweli Geoff lakini mbona kina mapungufu kama hayo? Au ni akili zetu tu za kibinaadam? Eh MUNGU tusamehe kama tunakufuru!!biblia ni kitabu kitakatifu cha mungu!.......
Umeandika kwa uchungu/hacra Lumbe but kumbuka kuwa hata Adam alidanganywa na Eva tena akaambiwa kabisa kuwa hili ni lile tunda tulilokatazwa na bado akakubali je hakuwa na common sense? au ilikuwa haijawekwa kichwani mwake bado?kwani bustanini edeni nani alianza kudanganyika? na nani alikuwa wa kwanza kudanganya? shetani au adam? usituhukumu bure. tatizo ni ninyi kudanganyika kirahisi, hata mkiambiwa mtanunuliwa treni huwa mnakubali tu bila hata kutumia common sense!
kwani bustanini edeni nani alianza kudanganyika? na nani alikuwa wa kwanza kudanganya? shetani au adam? usituhukumu bure. tatizo ni ninyi kudanganyika kirahisi, hata mkiambiwa mtanunuliwa treni huwa mnakubali tu bila hata kutumia common sense!