Eti..Kwa nini iwe ni wanawake tu?!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Nimekuwa nikifikiria hii dhana ambayo nimegundua ipo sana na kwa watu wengi kuwa inapotokea mwanamke au msichana akawa anamegwa sana mtaani kwao au maeneo anayoishi huonekana ni malaya, kicheche na majina kibao hupachikwa. Lakini inapotokea eneo hilo hilo kuna mwanaume au mvulana hodari wa kulamba mademu basi kwake ni tofauti huonekana kama ndio kidume cha mbegu na haonekani kama malaya kwa mitazamo ya watu. Hili limenikuta juzi tu nilikuwa safarini mkoani Iringa na pale nilipofikia mtaani kwetu nilikutana na kabinti kako vizuri sana kwa mtazamo wa nje na sikupoteza muda nikaanza operation mara moja lakini jamaa mmoja akaniambia mzee wewe hukai hapa sana huyo binti ni kicheche mbaya achana nae. Hali huwa tofauti kwa mwanaume akiwa mpenda mademu na hata mwanamke akijua jamaa anayemtokea ana sifa ya kumega sana mademu wengi nimegundua hujipeleka kiurahisi sana ingawa atakuwa akisononeka kuwa jamaa ana sifa ya ukoboaji sana.
 
wanaume huwa HAWAZINI!........

HII STATEMENT HAIHITAJI MJADALA!labda wakabishane na biblia
 
wanaume huwa HAWAZINI!........

HII STATEMENT HAIHITAJI MJADALA!labda wakabishane na biblia

......Eti wanaume hawaziniii.... na wakati nyie ndio waovu wakubwa, nyie ndio chanzo cha matatizo hapa duniani. Msingekuwa mnatongoza tuone kama huyo mwanamke atakuwa malaya!!
 
mama mimi nainukuu biblia!mtu mwenye dhambi ya kuzini ni mwanamke...na hukumu yake ni kupigwa mawe mpaka kufa

Biblia pia ina mapungufu katika hili ikiwa tu katika hesabu tunaambiwa walikuwapo watu 5000 na wanawake si inamaanisha wanawake si watu? ..... nina wasiwasi na mwandishi wake lazima alikuwa mwanaume ..........tena mwenye msimamo mkali:mad:
 
......Eti wanaume hawaziniii.... na wakati nyie ndio waovu wakubwa, nyie ndio chanzo cha matatizo hapa duniani. Msingekuwa mnatongoza tuone kama huyo mwanamke atakuwa malaya!!
.......and what if MSINGEKUWA MNAKUBALI?....
 
biblia pia ina mapungufu katika hili ikiwa tu katika hesabu tunaambiwa walikuwapo watu 5000 na wanawake si inamaanisha wanawake si watu? ..... Nina wasiwasi na mwandishi wake lazima alikuwa mwanaume ..........tena mwenye msimamo mkali:mad:
biblia ni kitabu kitakatifu cha mungu!.......
 
.......and what if MSINGEKUWA MNAKUBALI?....

.......Unlike charges attract each other, hivyo sio mwanamke tu aonekane malaya. Hata mwanaume anayependa kutoa chini ni malaya vile vile.
 
.......Unlike charges attract each other, hivyo sio mwanamke tu aonekane malaya. Hata mwanaume anayependa kutoa chini ni malaya vile vile.
it is ABOMINATION kumuita mwanaume malaya!biblia inalitambua HILO.KIIMANI MWENYE DHAMBI YA UZINZI NI MWANAMKE
 
......Eti wanaume hawaziniii.... na wakati nyie ndio waovu wakubwa, nyie ndio chanzo cha matatizo hapa duniani. Msingekuwa mnatongoza tuone kama huyo mwanamke atakuwa malaya!!

kwani bustanini edeni nani alianza kudanganyika? na nani alikuwa wa kwanza kudanganya? shetani au adam? usituhukumu bure. tatizo ni ninyi kudanganyika kirahisi, hata mkiambiwa mtanunuliwa treni huwa mnakubali tu bila hata kutumia common sense!
 
it is ABOMINATION kumuita mwanaume malaya!biblia inalitambua HILO.KIIMANI MWENYE DHAMBI YA UZINZI NI MWANAMKE

.....Hata mwanaume, imeandikwa ukimuangalia mwanamke na kumtamani tayari umezini. Hivyo nyie ndio manguli wa kuzini.
 
kwani bustanini edeni nani alianza kudanganyika? na nani alikuwa wa kwanza kudanganya? shetani au adam? usituhukumu bure. tatizo ni ninyi kudanganyika kirahisi, hata mkiambiwa mtanunuliwa treni huwa mnakubali tu bila hata kutumia common sense!
Umeandika kwa uchungu/hacra Lumbe but kumbuka kuwa hata Adam alidanganywa na Eva tena akaambiwa kabisa kuwa hili ni lile tunda tulilokatazwa na bado akakubali je hakuwa na common sense? au ilikuwa haijawekwa kichwani mwake bado?
 
wote ni malaya, wote ni vicheche sema wanaume wanapenda tu kupachika wenzao majina mala ,malaya,mala mlupo mala call box kila aina ya rubbish name
 
kwani bustanini edeni nani alianza kudanganyika? na nani alikuwa wa kwanza kudanganya? shetani au adam? usituhukumu bure. tatizo ni ninyi kudanganyika kirahisi, hata mkiambiwa mtanunuliwa treni huwa mnakubali tu bila hata kutumia common sense!

........Basi ungejua wewe mwanaume ndio rahisi kudanganywa, anaweza kutoa kila kitu alichonacho akidanganywa na mwanamke. Kumbuka Samson jinsi alivyoingizwa mkenge na Dalia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom