Eti Kwa Mfano

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,129
Kwa mfano umetoka nje ukiwa umevaa taulo na umembeba mtoto, nje wapo wakwe zako na majirani.. ukaanza kucheza na mtoto kwa kumrusha juu na kumdaka, ghafla ukamrusha na taulo likafunguka. je utawah kipi? Mtoto au taulo?
 
Mazingira kama hayo kutokea ni vigumu
 
Katika hali ya kawaida wakwe ni watu ambao wanaheshimika sasa huyo anayeanza kucheza cheza na mtoto mbele ya wakwe hazimtoshi. Namshauri awahi mtoto ili apate aibu ambayo itamstahili.
 
Katika hali ya kawaida wakwe ni watu ambao wanaheshimika sasa huyo anayeanza kucheza cheza na mtoto mbele ya wakwe hazimtoshi. Namshauri awahi mtoto ili apate aibu ambayo itamstahili.

hahaha sawaa
 
Kwa mfano umetoka nje ukiwa umevaa taulo na umembeba mtoto, nje wapo wakwe zako na majirani.. ukaanza kucheza na mtoto kwa kumrusha juu na kumdaka, ghafla ukamrusha na taulo likafunguka. je utawah kipi? Mtoto au taulo?
unawah taulo
 
hahaha sawa ila kumbua kituo kidogo chapolis kitakuhitaji!! Nelson
 
Last edited by a moderator:
chukulia ndo imetokea

Najaribu kutengeneza mazingira lakini naona yanakataa kwa mtu mwenye akili timamu lakini kama hazimtoshi anaweza kumdaka mtoto ndio afunike aibu yake
 
Hiwezekani kukaa na taulo mbele za wakwe, tena huku unacheza na mtoto
 
yah. kutoka tu nje na taulo mbele ya wakwe ni tatizo tayari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…