Eti Kuna wanaume wanalala uchi? Duuuh!

  • Thread starter Thread starter guest-1793979523
  • Start date Start date
Nikiwa na wife ni uchi bila kuuliza ila nikiwa peke yangu boxer inahusika unless niwe na michubuko kwenye mapaja hapo sins ujanja lazima nikipoze wa mnyama
 
Hivi kuna wenzangu wano penda kulala na taulo au ni mimi tu ,

Mimi napenda kulala na taulo unalifunga kwa pembeni tu ,

Huwa nakuwa free sana ,makende yanapumua kwa mbalii
 
Baada ya kuzungumzia kuwa na siraha mnazungumzia kulala uchi unaweza kulala na nguo hata za jeshi kama hauna siraha yeyote wahuni wanabaka familia huku ukiangalia...
Fanya unavyoweza tafuta mzigo uwe unapumua karibu na wewe...
 
Mwanaume unalalaje uchi ukiingiliwa ndani na vibaka je Acheni izo vaa Ata bukta wadada ndo wanakula uchi washamba nyie

Asa ukiwa uchi kupigana huwezi au ? hio boxer itakusaidia nn mwizi akiingia
 
Wakina anko T hao,huwa wanalala uchi ili kuacha mnduku upigwe hewa kidogo.
 
Sema tuache utani wanao lala uchi hawakosei,pumbu kwa nature yake zina hitaji kupumua .
 
Wewe unalala pekeyoko ndio maana ila kwa sisi tuliyokua kwenye ndoa twalala uchi tu na pembeni twaweka kanga na msuli au taulo na nikitoka chumbani ndio navaa bukta
 
Nikiwa na wife ni uchi bila kuuliza ila nikiwa peke yangu boxer inahusika unless niwe na michubuko kwenye mapaja hapo sins ujanja lazima nikipoze wa mnyama
Kwanini unachubuka? Ukitembea mapaja yanasuguana?
 
"ilitokea short ya umeme kwenye nyumba ya biashara,boss alitoka uchi wa mnyama ,baada ya pressure kushuka ndio mkewe akakumbuka yupo uchi""

Anasimulia mlipa kodi
 
😹😹😹nikipiga picha akilini nacheka mwenyewe
Kama mazingira yako yana usalama wa kutosha ni afya kulala uchi, ila sisi tunaoishi Kwa Mnyamani ukituambia tulale uchi unatuonea.
 
Asa ukiwa uchi kupigana huwezi au ? hio boxer itakusaidia nn mwizi akiingia
Natamani likukute utajifunza Linda mgongo wako kukakaa kaa uchi kitakukamba siku moja utakuja udhalilishwe we jamaa
 
Yes huwa inatokea hiyo na kutembea nishidaa utatamani ukae home siku 3 hadi wiki
Inabidi nani ya surual uvae zile boxer sijui tight ndefu hadi magotini ziwe za pamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…