Eti kuna paying guest yoyote hapa Dar ?

Weka swali lako lote kwa Kiswahili au ondoa utata katika Kiingereza, unajua tena kidhungu kidhungudhungu.
"Paying guest house" inaweza kuwa ya kulipia (zote lazima uwe na pesa taslim, hakuna ya bure wala mkopo.
Pia "paying guest house" inaweza kuwa ile ambayo huduma zake ziko nzuri kiasi inaendana na thamani uliyolipia. That's why we say "This guest house is paying. It's worth".
 
Back
Top Bottom