Eti kuna ngo's inaitwa high learning students support fund( hlssf )? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti kuna ngo's inaitwa high learning students support fund( hlssf )?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by chipande, Oct 5, 2012.

 1. c

  chipande Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kama kuna mtu yeyote ameshawahi omba mkopo na akapata naomba nijue, coz hapa mjin wajanja wengi mdogo wangu aliomba mkopo mwaka jana serikalini hakupata now anataka a jaribu ktk h NGOS hyo niliyoitaja hapo juu. kaniuliza nimeshindwa kumpatia jibu,nikasema ngoja niwaulize wasomi wa JF. kwamba hi ni ya ukwel au magumashi iko k/koo. NASUBIRI JIBU
   
Loading...