Eti konyagi!

Eti konyagi!

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
405
Reaction score
19
Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.

Je ni kweli inaongeza nguvu za kiume??

Je, kwanini wanywaji huifungua kwa staili ya kuipiga nyuma??

Ahsanteni
 
.,.
Hebu fafanua zaidi!
 
Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.

Je ni kweli inaongeza nguvu za kiume??
Haiongezi ngvu za kiume but it can also make it harder to sustain an erection....
Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.

Je, kwanini wanywaji huifungua kwa staili ya kuipiga nyuma??
yale ni manjojo tu ikumbukwe konyagi haina gesi hamna logic yoyote kupiga kitako before kuifungua.....aalfu unajua nyingine konyagi ikiwa inanywewa chupa yake iliyobaki na alcohol haisimamishwi....inalazwa kwenye meza na hata baada ya kumiminina kwenye glasi unailaza chupa...

Ahsanteni
i wish you ol the best mkuu.....
 
Nimesikia mengi kuhusu konyagi na ningependa kupata taarifa zaidi kutoka kwa wana JF kuhusu yafuatayo yanayohusiana na konyagi.

Je ni kweli inaongeza nguvu za kiume??

Je, kwanini wanywaji huifungua kwa staili ya kuipiga nyuma??

Ahsanteni

Haiongezi nguvu za kiume,ila huwa inakufanya uchelewe kufika mshindo,kama unakawaida ya kupinga bao baada ya dk 5 mechi ukinywa Konyangi utapiga bao baada ya dk 15 au zaidi ya hapo.hii ni kutokana na utafiti wangu mwenyewe.
 
Duh ebwanaee!! mbona kaazi kweli kweli, ulikuwa na mai waif, changu au instrumental?
 
Haiongezi nguvu za kiume,ila huwa inakufanya uchelewe kufika mshindo,kama unakawaida ya kupinga bao baada ya dk 5 mechi ukinywa Konyangi utapiga bao baada ya dk 15 au zaidi ya hapo.hii ni kutokana na utafiti wangu mwenyewe.

Mkuu utafiti wako nauunga mkono na mguu, ni kweli! Kama my nanii wako anakusumbua mnyweee viroba viwili.. mpaka umalize mshindo atakuwa kaisha imba nyimbo za kwao zote! Lakini hakikisha nawewe uko barabara vinginevyo mhhh waweza chonga..
 
lol sasa hapo suala linakuwa kumkomoa....anyway anaweza kuweka 1 kiloba,1tyson na club soda......lakini wakuu itafikia kule kunakauka hata wewe unaanza kufeel maumivu na kama unatumia mpira kuna hatari ukapasuka.....
 
Ni kweli kuhusu konyagi inafanya mwanaume akae muda mrefu sana wakati wa kufanya mapenzi.Imeshanitokea hiyo with my partner.
 
Konyagi kuipiga kikalio kabla si mbwebwe bali utaalamu wa kulegeza mfuniko. Hata mlio wa mfuniko kuachana na pete ibakiyo na chupa husikika na kufungua huwa kama vile haikuwa 'sealed' Jaribu chupa 2. Moja ishikilie sambamba na ardhi uipige kwa nguvu kitakoni ndipo ufungue. Nyingine fungua bila utaratibu huu uone tofauti. Nini hutokea? wengine wawezachngia.
 
Haiongezi nguvu za kiume,ila huwa inakufanya uchelewe kufika mshindo,kama unakawaida ya kupinga bao baada ya dk 5 mechi ukinywa Konyangi utapiga bao baada ya dk 15 au zaidi ya hapo.hii ni kutokana na utafiti wangu mwenyewe.

hahaaa... wacha ninyamaze kucheka manake huu ni ukweli ... vinywaji vikali (whiskies, nk) zinachelewesha... jihadhari ukinywa nyingi utakausha... afu hutakojoa kabisaa
 
Mimi ninachojua Konyagi ukiinywa sana yule jamaa aliyenyoosha mikono kwenye chupa huishusha mikono yake, hapo ndio ujue kichwa iko tungiz for real !!
 
So iko sawa na mirungi enh! So ka vp hizi ni dawa barabara in case unataka kuretain respect kiunyumba au sivyo ndugu, ni somo zuri kwa waliooa na walio na mushkeli wa kufunga mapema kabla ya kipenga cha kuanza! Je na hawa kina mama(dada) wakitumia inakuwa vipii?🙂
 
Akina dada wakitumia, wanakauka hili swala ni kwa pombe zote kali.
 
Back
Top Bottom