Huyo mrembo wa tangazo la magodoro kama vile ana maringo fulani hivi. Alitaka kurembesha neno 'kingaacho' akajikuta
anatamka 'kingaricho' kwa kuzidisha maringo. Na walioandaa tangazo hawakujishughulisha na editing wala nini, waliona poa tu!
Huyo mrembo wa tangazo la
magodoro kama vile ana maringo fulani hivi. Alitaka kurembesha neno
'kingaacho' akajikuta
anatamka 'kingaricho' kwa kuzidisha maringo. Na walioandaa tangazo
hawakujishughulisha na editing wala nini, waliona poa tu!
BASATA wao wanajikita zaidi kwenye maadili na lugha chafu. Maadam hilo tangazo halijakiuka maadili mema na halina lugha ya kuudhi kwao ni ok tu! Ni hivyo tu Ralphryder.