Eti kakataa kutoka ghetto

Katika maisha,
Nawaheshimu sana wadada wa kazi na nakushauri usiwe na tabia kama hiyo tena.maana hao wanatafuta maisha .
 

Kwa hiyo umepata faida gani
 

Akili yake imejaa ngono huyu ndo tatizo la kujua kugegeda ukubwani halaf hajui kujicontrol emotionally kuna stdss kibao shaurilo kama hutatoka na gono bas kaswende huku ukimw ukikunyemelea acha uzinzi.soma kijana dume zima linawaza kutia tu fyuuuu aibu mnawadhaliliha baba zenu na.wengine wenyw jinsia kama yenu
 
Beki tatu naye ni mwanamke kama wanawake wengine. Unasema anavutia ile mbaya. Sasa tatizo nini. Hivi unajua kuwa baadhi ya wake za wakubwa walianzia u beki tatu leo wanatembelea Land Cruiser
 
Kuna Stori nimesikia Jamaa kampa mimba Mbwa wake..

Kwa hiyo mifugo nayo haipo salama, hata sabuni pia hazipo salama..

afu hata mi niliskia sijui huyo mbwa atazaa nn
 
ulikubaliana nae alipo lala kwako sasa ushamaliza shida zako ndio unaanza visa,anataka kuolewa ..........
 

imagine wewe ndo house gal, halafu house gal akawa kidume anakwambia go home!

unadhani ungeenda hivi hivi?

kwanza umemtoa chochote?
 

hivi kwanini tunawadharau sana house girls...tuwape heshima zao kama wanawake wengine bana
 
ningekuwa huyo house gali nakomba kila kitu huko gheto afu nawapangishia mateja na kodi napokea ndo niondoke
 
Fanya mpango aondoke ghetto usukute anataka kukuibia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…