melisafilbert
Member
- Sep 3, 2013
- 67
- 9
Wakati hajazaa alikuwa anamwita nani!!!!!!!!
Ingawa nimepata shida kujua nini mantik ya thread yako
hajawai kutaja jina lake (mkewe) hata siku moja
We unapenda nikuiteje..??Wakati hajazaa alikuwa anamwita nani!!!!!!!!
Ingawa nimepata shida kujua nini mantik ya thread yako
Jamani Tized........Waao, I like dat. Mjini si unajua kila mtu ni Baby, uzee unaishia Kibaha kwa Matias.
So Kuitwa jina lako kwa staha kunaraha yake sana.
Wee Heaven on earth weweeee!!!
We unapenda nikuiteje..??
baadhi ya ma player wana principle ya kutotaja ili kutochanganya
ana ukiwete wa ubongo huyo,mwambie wenzake wanatamani kuitwa hayo majina ambayo yeye haoni yana umuhimu lakini haiwatokei,,,,,,,,,,,anatafuta mbinu ya kuanzisha visa tu hana lolote.
baadhi ya ma player wana principle ya kutotaja ili kutochanganya
Ingawa nimepata shida kujua nini mantik ya thread yako