Eti jamani ni kweli???

Eti jamani ni kweli???

Bushrah

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
413
Reaction score
791
Habari zenu wakuu...eti jamani ni kweli MWANAMKE KUMVUMILIA MWANAUME ASIYE KUWA NA PESA NI KIPAJI?ni swali tu jamani..
 
ni kipaji zaidi ya kuimba.

(kwangu kuimba ndio kitu kigumu kuliko vyote)
 
Inategemea mapenzi yao yalianza vipi. Kuna wanaume hawana pesa lakini wana mapenzi, heshima na adabu kwa wake zao. Kuna wanawake wenye kipato (income) nzuri na yakutosha, hata kama mume hana income ili mradi ana mapenzi na heshima atamtunza.
 
kipaji sawa na mwanaume kumvumilia mwanamke asiye na wezere
 
Kuuliza swali la namna hii nafikiri nacho ni kipaji...
 
Itabidi utafiti ufanyike hasa kwa mabinti wa T.H.T.
 
Kwanza kabisa kabla haujauliza swali kama hilo ulipaswa kujiuliza nini maana ya kipaji ,baada ya hapo husisha na hilo swali lako uone kama italeta maana.

Ipo siku unaweza kuja hapa ukauliza eti mavi ya buzi ni karanga, au ile la mende nalo ni koti la suti, watakucheka watu.
 
ni kipaji zaidi ya kuimba.

(kwangu kuimba ndio kitu kigumu kuliko vyote)
ndugu hapo nimekupata vizuri, yaan we kumvumilia mwanaume asiye na pesa ni ngumu kuliko hata kuimba, kuimba ndo kitu kigumu kuliko vyote hapo awali, lakin mwanaume asiye na pesa ndo imevunja record kabisa.... dah, kaaazi kweli kweli. Mungu tusaidie akina sie tusiokuiwa na pesa.
 
Back
Top Bottom