B Boreless Member Joined Aug 25, 2009 Posts 67 Reaction score 45 Jan 8, 2010 #1 Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao!
Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,677 Reaction score 167,618 Jan 8, 2010 #2 Nakuunga mkono... Huyu lazima achukuliwe hatua.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,418 Jan 8, 2010 #3 mie heading yenyewe hata siielewi ya hao chekechea
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,884 Jan 8, 2010 #4 Boreless said: Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao! Click to expand... yupi sas steve nyerere au OUR FATHER OF NATION nini uhusiano wao na sisimizi na unyama pori?????????
Boreless said: Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao! Click to expand... yupi sas steve nyerere au OUR FATHER OF NATION nini uhusiano wao na sisimizi na unyama pori?????????
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,069 Jan 8, 2010 #5 hili swala halikuhitaji thread.ulipaswa kugonga batani ya then unaeleza kutoridhika kwako kwa mods wanakusaidia
hili swala halikuhitaji thread.ulipaswa kugonga batani ya then unaeleza kutoridhika kwako kwa mods wanakusaidia
kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 188 Jan 9, 2010 #6 Boreless said: Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao! Click to expand... Please siyo Nyerere ni NYENYERE, see the difference!
Boreless said: Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao! Click to expand... Please siyo Nyerere ni NYENYERE, see the difference!
A Akili Kichwani JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,508 Reaction score 222 Jan 9, 2010 #7 Boreless said: Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao! Click to expand... kichwa kimeandikwa NYENYERE si NYERERE, Nyenyere ni jamii ya wadudu! acheni analysis za chekechea
Boreless said: Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje ufukuze hawa watoto wa chekechea?! au wafungulie jukwaa lao! Click to expand... kichwa kimeandikwa NYENYERE si NYERERE, Nyenyere ni jamii ya wadudu! acheni analysis za chekechea
Tumain JF-Expert Member Joined Jun 28, 2009 Posts 3,154 Reaction score 74 Jan 9, 2010 #8 Agh! hilo nalo kitu cha kulia lia umezoea kulia ...uhuru ndugu...by the way what is nyerere? that dude is a big failure.
Agh! hilo nalo kitu cha kulia lia umezoea kulia ...uhuru ndugu...by the way what is nyerere? that dude is a big failure.