Nshamfahamu,yupo humu humu jamvini!
haka katoto kamekomaliana namaanisha kamekomaaa katazame kwa ukaribu utaona
Huyu si haka kabinti kanajiita Lina "malkia wa bongo flavor"...sijui kamempata predeshee gani anayekapa trip za kwenda mbele kila uchao
eti ni first lady IPP MEDIA!
Kama mwanamuziki Linah vile, lakini huyu amekua zaidi.sura yake kama naifahamu...
inakuja inapotea...
tukumbushane...
Wacha wee, aisee wewe ni mtundu kweli kweli!Ruge keshakula mpaka 071 hapo!
ah kua uyaone mkuu!
Unalikumbuka gazeti la sani lile la zamani lakini sio la sasa hivi,kulikuwa na makala inaitwa ''ni kweli yametokea''mmh sina ushahidi mkuu...labda
Unalikumbuka gazeti la sani lile la zamani lakini sio la sasa hivi,kulikuwa na makala inaitwa ''ni kweli yametokea''
yeah nakumbuka, si lile jarida la enzi zile