Eti huyu ndio huyu!!!

Kua nawe utakuwa kama huyo bahati mbaya siku hizi mtu kufikisha miaka 50 ni sandakarawe
 
Kua nawe utakuwa kama huyo bahati mbaya siku hizi mtu kufikisha miaka 50 ni sandakarawe

Hilo neno na hiyo avatar yako inanikumbusha enzi za ma "comics" kabla Nyerere hajayafungia.
 
Loh! kumbe naye alikuwa hb!!
 
mi ninayo ya chekechea,alikua kama Dogo janja yule mwanamziki wa bongofleva.
 
aah, babu kumbe alikua hb, halafu alikua anafanana na wilbroad
 
Hii nzuri sana inapendeza kuona unapitia hatua mbali mbali za kukua mpaka umakunja mgongo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…