Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Aug 2, 2016 29,703 26,226 Sep 15, 2020 #1 Watu wanane wauawa na polisi hivi hivi huko Kenya. Halafu jamaa bila haya wanajisifu eti wao ni vinara wa demokrasia. Hata sijui ni demokrasia gani hawa jamaa wanaoiongelea.
Watu wanane wauawa na polisi hivi hivi huko Kenya. Halafu jamaa bila haya wanajisifu eti wao ni vinara wa demokrasia. Hata sijui ni demokrasia gani hawa jamaa wanaoiongelea.
joto la jiwe JF-Expert Member Sep 4, 2017 26,117 46,613 Sep 15, 2020 #2 Wameshakubali kwamba wamechanganyikiwa hawajui la kufanya
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Aug 2, 2016 29,703 26,226 Sep 15, 2020 Thread starter #3 joto la jiwe said: Wameshakubali kwamba wamechanganyikiwa hawajui la kufanya Click to expand... Watakoma safari hii hawa
joto la jiwe said: Wameshakubali kwamba wamechanganyikiwa hawajui la kufanya Click to expand... Watakoma safari hii hawa
R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,211 20,199 Sep 15, 2020 #4 Ingetokea Marekani ungeona Wakenya walivyo kimbelembele kuandamana ila nchini kwao wako kimya.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Aug 2, 2016 29,703 26,226 Sep 15, 2020 Thread starter #5 rodrick alexander said: Ingetokea marekani ungeona wakenya walivyo kimbelembele kuandamana ila nchini kwao wako kimya Click to expand... Haya majitu sijui yakoje yaani.
rodrick alexander said: Ingetokea marekani ungeona wakenya walivyo kimbelembele kuandamana ila nchini kwao wako kimya Click to expand... Haya majitu sijui yakoje yaani.