babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
WACHAGA NA BIASHARA!? Ona
tangazo la biashara kwenye duka la
MR.TEMU jr: pata sukari, mayai,
baiskeli, kanga, pilau, walikuku,
sambusa, tairi za trekta, madaftari,
bia aina zote, petroli, dizeli,
matunda, socket za umeme, nazi,
vitumbua, mbolea, mitumba grade
1, supu ya utumbo na kongoro,
mabati, vocha, mtego wa panya,
pembejeo, rim papers makabati ya
nguo, oil chafu, computer, simu,
pochi, juice na mbogamboga, mbao,
jiki, mahindi ya kuchoma, bajaj,
cement na nk
Duka la Mtanga na mhaya je?WACHAGA NA BIASHARA!? Ona
tangazo la biashara kwenye duka la
MR.TEMU jr: pata sukari, mayai,
baiskeli, kanga, pilau, walikuku,
sambusa, tairi za trekta, madaftari,
bia aina zote, petroli, dizeli,
matunda, socket za umeme, nazi,
vitumbua, mbolea, mitumba grade
1, supu ya utumbo na kongoro,
mabati, vocha, mtego wa panya,
pembejeo, rim papers makabati ya
nguo, oil chafu, computer, simu,
pochi, juice na mbogamboga, mbao,
jiki, mahindi ya kuchoma, bajaj,
cement na nk
Hahahahha hiyo kali kila sehemu moja hahha
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Hahahahha hiyo kali kila sehemu moja hahha
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Duka la Mtanga na mhaya je?
We hujakosea biashara ya mapenz kwa wahaya ndo usiseme niulize mie ninaewajua nje ndan,
Sent from my BlackBerry 9700using Jamie's