Eti hii ni kweli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,830
2,000
Kwamba.....

Kuachwa au Kuachana na Mwanamke ( Mpenzi ) wako mpenda Pesa / Hela sana au mno ni sawasawa na Kumaliza ' Mkopo ' wako Benki?

Nawasilisha.
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,111
2,000
Kwamba.....

Kuachwa au Kuachana na Mwanamke ( Mpenzi ) wako mpenda Pesa / Hela sana au mno ni sawasawa na Kumaliza ' Mkopo ' wako Benki?

Nawasilisha.
Absolutely.

Tatizo ni temporary relief.

Hatukawii kuchukua "mkopo kwenye bank nyingine" na kujikuta kwenye situation ile ile au mbaya zaidi.
 
Top Bottom