Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,159
- 162,581
Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.
Kingine namshauri aache uchcochezi.
Haaa CCM bila Backup ya Policcm ,Teeth na NEC saa nne asubuhi kabla misa haijaisha CDM inaingia IKULU.
Tusubiri hiyo October tuone nani atakua na mafuriko,mbona majibu yatapatikana tu.
😂😂😂😂View attachment 1469801
Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.
Kingine namshauri aache uchcochezi.
Salary Slip na Mchora Katuni! Lenu moja! Ndo mumesababisha Serikali ya CCM ilazimike kupeleka Bungeni Mswaada wa sheria ya kutulazimisha Watanzania kumiliki laini moja tu ya Simu.View attachment 1469801
Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.
Kingine namshauri aache uchcochezi.
Kikashindishwa!Achana ccm...chama kimoja....kikapambana na muungano wa vyama zaidi ya saba...
Na chama kikashinda
View attachment 1469801
Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.
Kingine namshauri aache uchcochezi.
Ni wale wasioonekana wala kujulikana.Nimeona ccm, nccr na cuf ila huyo wa nne sikumuona nani mwenye kumjua anisaidie
.View attachment 1469801
Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.
Kingine namshauri aache uchcochezi.