Eti hii ndio CHADEMA inayokufaa!!!

Eti hii ndio CHADEMA inayokufaa!!!

View attachment 1469801

Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana.

Kingine namshauri aache uchcochezi.
Hahahahaaa na hii picha ndo uhalisia wenyewe, ccm , cuf , Nccr makohozi na Tlp lao moja, ni kuhakikisha chadema inapotea kitu ambacho si rahisi kihivyo... chadema imejengwa moyoni mwa wapenda mabadiliko na maendeleo ya nchi yetu..

Mjue hata CCM yenyewe haiko tayar kuona chadema ikipotea..amini nawaambi ccm ndo watatupa kura za kufanya tuchukue nchi ama tuendelee kuwa chama kikuu cha upinzani...hao wengine wanatumika tu
 
Back
Top Bottom