Eti Hela Za Mawazo...........!!!!!

Eti Hela Za Mawazo...........!!!!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
kipanya mchokozi sana. kwani hela za mawazo ndo zinakuwaje.
mabinti wa MMU mukuje huku kunipa ufafanuzi wa neno.."hela za mawazo"
maana nakumbuka nshawahi kuambiwa hilo neno!!

attachment.php
 

Attachments

  • kp04032014.jpg
    kp04032014.jpg
    29.1 KB · Views: 767
Hahahaaa hata mie hela za huyo mtu sizitaki nataka za yule bwerere huhitaji mawazo kuzitumia bali unahutaji nafasi tuu na nguvu tuu ya kuzitumia
 
Heeee hela ya mawazo Leo IPO kesho hana unaungaunga kwa kutegemea dili kama la katiba ikiisha ndo bhasi tna ....pesa kwako Iwe kama kama pai 22/7 always there sio blah blah laki kumi
 
Heeee hela ya mawazo Leo IPO kesho hana unaungaunga kwa kutegemea dili kama la katiba ikiisha ndo bhasi tna ....pesa kwako Iwe kama kama pai 22/7 always there sio blah blah laki kumi

We unatakka za aje?
 
hela za mawazo unakuwa nazo huku unafikiria kuzitumia kwenye vitu vingi while hela yenyewe ndogo, unaweza kuumwa kichwa asee kwa sababu ya hela, mtoto anadai ada huku mchepuko unataka shopping basi mvurugano tu, hapo oopotunity cost should be applied.....
 
Back
Top Bottom