ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,442
- 28,760
Masikini, vijana hawa ni wafu watarajia kwa sababu ya kuwa wahanga na watumwa wa itikadi za watu binafsi amabao asili yao ushujaa wa kipuuzi.
Mtu anasema anaipigania dini, mara anaipigania palestina, mara sijui blah blah nyingi, mara ya mwisho yeye kujipigani ni lini????
HOUTHI NI UTAPELI,
Wameshaanza kuyakanyaga tayari