The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,085
Nina ndugu yangu,ofukozi he is of age,miaka 39 ila hajaoa wala hana mtoto ila ana mahusiano/mapenzi na wanawake wengi sana,tunaweza kumuita profesheno pleya. Ana kazi yake nzuri tu,ni treasury officer wa benk moja hapa nchini.
Leo tulikua tunazungumza mambo mengi,nikamuuliza bro mbona huoi,akaniuliza nioe ili iweje,nikamjibu uwe na familia,yaani watoto,akaniambia kitu hataki kusikia ni mimba au mtoto,kwamba kua na mtoto/watoto sio sifa,maana hata paka ana watoto.
Hilo jibu eti hata paka ana watoto limenimaliza,nimekosa la kuuliza tena,jamani je hili la ndugu yangu kutokutaka watoto ni aina gani ya matatizo?
kula bata mpaka kuku wanaandamana...loading error...mwache ale ujana tu..siku ubabu ukimkuta atakuwa hana hata mjukuu wa kumuanika juani...ndio atakapojua paka ni nani na binadamu ni nani..nyambafuuu!!!
Huyo alishajijua ni mgumba aisee ndo maana anatoa kauli za ivo
Kuwa na wanamwake wengi inathibitshaje kuwa wewe ni 'profesheno player' as you argued?
Mbona mi ninao 7 ila sio player?
Mmh atakuwa ana matatizo huyo si bure, we wanawake wote hao afu hana hata mtoto wa kusingiziwa mmmmh
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mbona wala sio tatizo....ni choice yake anataka kula rah bila kuwa na commitmenrs za kifamilia.
kwa kweli ni upuuzi mtu anakuuliza so wee hutaki ukifa ukumbukwe kwa kuacha jina lako? nikumbukwe ili iwaje...naishi maisha yangu mwenyewe not to please others.
kula bata mpaka kuku wanaandamana...loading error...