Eti hapa nilikosea nini?

Pesa kumuachia kosa kubwa ungechukua kila kitu na wakati unachukua pesa ungechukua kimbinu na kumrekodi voice note na video ili baadae akose nguvu
 
Enyi wanawake nawapeni siri msikubali kununuliwa kitu na mwanaume wako siku mkiachana atakuja kukichukua trust me ni bora muombe pesa mkanunue wenyewe bila yeye kujua ahsanteni
 
Hapo kosa la mtoa uzi ni kumsamehe mwanzo huyo ungepiga chini mapema halafu sijawahi kuamini kwamba kumsapoti mwanamke kunaweza kufanya penzi lako liwe salama hawa viumbe ni wapumbavu sana awajawahi kuelewa wanachotaka
 
Inaumiza sana, lakini ndio hivyo hawana shukrani; unaweza ukaweka mtaji ata wa milioni kadhaa, akamthamini yule tu aliyemwambia umependeza.
Umeshapata somo, endeleza harakati kwa mwingine.
 
Kosa lako ni uzinzi na uasherati.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…