Kuna ki2 kimenishtua leo eti kuna DEGREE ZA CHUPI kwa wadada!!? Unaenda chuo miaka 3 au 4, unawavulia wahadhiri chupi wanakupa marks za bure. Sasa huyu m2 anaenda kufanyaje kazi au atamvulia na bosi pia? Dah!
unapenda nawe kutoa degree kama hizo???ukiwa fisadi utaishi kifisadi, watoto wako nao wasoma na kuishi kifisadi, na ukiwa mvua chupi, utavua tu kwa kila mtu kulingana na needs zako..... Sijui niwe mhadhiri???????????????????
hizo zipo maana nakumbuka niliwahi mwaka mmoja kufanaya group presentation na dada mmoja baada ya kumaliza yule mhadhiri alitaka yule dada ndiy apeleke kazi yetu basi bwana si jamaa mmoja akajitia kimbelembele kupeleka yeye baada ya mtakiwa kukataa... kilichotokea hapo we acha tu
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni!!
hata kwa wakaka pia zipo.
Mwanafunzi wa chuo ni mtu mzima na anawajibika kwa matendo yake, tatizo linakuja kuhusu rushwa ya ngono ambayo nadhani ni ngumu sana kuithibitisha ikiwa hakuna ushirikiano kutoka kwa mpokeaji au mtoaji wa hiyo rushwa. Kimsingi kama umekanyagiwa wee tafuta mnyonge wako iwe ngoma droo, otherwise hamna ishu hapa.Kuna ki2 kimenishtua leo eti kuna DEGREE ZA CHUPI kwa wadada!!? Unaenda chuo miaka 3 au 4, unawavulia wahadhiri chupi wanakupa marks za bure. Sasa huyu m2 anaenda kufanyaje kazi au atamvulia na bosi pia? Dah!