MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 623
Nimekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mdada kama miezi sita hivi na tulianza mipango ya kukaa pamoja mwaka huu,mimi najitegemea yeye anaishi na dada yake dar kwao moshi.Mwezi uliopita alinambia anaujauzito wangu tukaenda hospitali tukakuta kweli ana ujauzito ,tatizo ni kwamba baada ya mwezi na nusu anasema amekunywa dawa ya malaria halafu imetoka,hapa si naibiwa ?au hakuwa tayari?