Eti chupi kazi yake nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti chupi kazi yake nini?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mkurugenzi1, Oct 25, 2012.

 1. m

  mkurugenzi1 Senior Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Eti chupi kazi yake nini? Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani, ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukikaa uchi utasikia hujavaa chupi, sasa hapo chupi ya nini?jamani kama sio kuoneana??
   
 2. c

  chief72 JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ndo maana huwa sivai, napigilia kitu changu cha bukta
   
 3. namanyele

  namanyele JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 1,795
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kazi ya chupi kamuulizie yule mtu wa kwanza unayemfahamu wewe aliyekununulia na kukwambia uvae
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  gud point...ndio maana mastar wa kike na magoma mtaani wanatembea bila hizo chupi
   
 5. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  zamani ilikuwa ili ushike kalio kwa wasichana ilibidi ufunue chupi kwanza.,, ila siku hizi ili kuipata chupi lazima ufunue kalio(bikini)
  hakuna umuhimu tena mjomba,,
   
 6. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,166
  Trophy Points: 280
  Mkuu unamaanisha yule Aliyeimba Mr Politician? Nakaa kaya!
   
 7. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Unakuta mtu kavaa chupi ina tobo.
   
 8. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,166
  Trophy Points: 280
  nilishuudia sana coco beach miaka ile ya utoto(miaka ya v.i.p zilipoingia
   
 9. Mtuhurumawazo

  Mtuhurumawazo Senior Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  inasaidi sana hasa kwa wanaume kuholidi korodani hasa pale unapoluka sisipate shock. kwa wadada cjuii
   
 10. e

  estomingo Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona kazi yake ni kushikilia makalio mana wenye makalio makubwa usipovaa ni vibration tu xema xaxa iyo ya kamba kazi yake bado ni tata
   
 11. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  tunaiga tu,ukoloni mamboleo huo
   
 12. S

  Shuju Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  teh teh kaz yake mkojo uctoke mojakwa moja
   
 13. G

  GADO Member

  #13
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmm jibuni wenyewe" maswali mengine nisawa na kuulizwa kuwa nani aliyekufundisha kufanya mapenzi? baada ya kubalehe ? hivi utajibuje?
   
Loading...