mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
Eti chupi kazi yake nini? Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani, ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukikaa uchi utasikia hujavaa chupi, sasa hapo chupi ya nini?jamani kama sio kuoneana??
gud point...ndio maana mastar wa kike na magoma mtaani wanatembea bila hizo chupi
nilishuudia sana coco beach miaka ile ya utoto(miaka ya v.i.p zilipoingiaUnakuta mtu kavaa chupi ina tobo.